.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 2 Desemba 2016

MAJALIWA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA ARUSHA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyabiashara wa Arusha kwenye Kituo cha Mikutano cha Arusha (AICC) Desemba 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wafanyabiashara wa Arusha wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye Ukumbi wa Simba katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha, Desemba 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni