.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 9 Desemba 2016

NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA VIWANDA VYA TANZANIA

Ofisa Mauzo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Fredrick Sawaki (kulia), akitoa maelezo kuhusu mafao yatolewayo na NSSF kwa wananchi waliotembelea banda la shirika hilo wakati wa maonessho ya Viwanda vya Tanzania yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Ofisa Mauzo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Fredrick Sawaki (kulia), akitoa maelezo kuhusu mafao yatolewayo na NSSF kwa wananchi waliotembelea banda la shirika hilo wakati wa maonessho ya Viwanda vya Tanzania yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
 Ofisa Matekelezo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Sarah Mazengo (kushoto), akitoa maelezo kuhusu mafao yatolewayo na NSSF kwa wananchi waliotembelea banda la shirika hilo wakati wa maonessho ya Viwanda vya Tanzania yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
 Ofisa Matekelezo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Sarah Mazengo (kushoto), akitoa maelezo kuhusu mafao yatolewayo na NSSF kwa wananchi waliotembelea banda la shirika hilo wakati wa maonessho ya Viwanda vya Tanzania yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Ofisa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Anna Nguzo (kushoto), akitoa maelezo kuhusu mafao yatolewayo na NSSF kwa mmoja wa wananchi waliotembelea banda la shirika hilo wakati wa maonessho ya Viwanda vya Tanzania yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Wananchi wakiwa katika banda la NSSF.
Baadhi ya watu wakipata elimu juu ya NSSF.
Ofisa Matekelezo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Sarah Mazengo akitoa elimu juu ya Mafao yatolewayo na NSSF kwa mmoja wa watu waliofika katika banda la NSSF.
Ofisa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Anna Nguzo (kushoto), akitoa maelekezo namna ya kujaza fomu ya kujiunga na NSSF kwa mmoja wa wananchi waliotembelea banda hilo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni