.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 28 Desemba 2016

PAMOJA NA MVUA WANANCHI WA RUANGWA WAJITOKEZA KUMSIKILIZA WAZIRI MKUU (MB)


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye ni mbunge wa Ruangwa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Manokwe katika wilaya ya Ruangwa ambao walijitokeza kumsikiliza mbunge wao alipokuwa anawahimiza kufanya kazi ilikujileta maendelo katika wilaya ya ruangwa Waziri mkuu yupo Jimboni Ruangwa kwa ziara ya kikazi Picha na Chris Mfinanga

Wananchi wa kijiji cha Nga’u kilichopo wilaya ya Ruangwa wakiwa wamejikinga mvua kwakutumia viti wakati wakimsikiliza mbungewao Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipokuwa akiwahutubia kwa ajili yakuhimiza shughuli za maendeleo jimboni Ruangwa Mkoani Lindi. Picha na Chris Mfinanga




Hakuna maoni :

Chapisha Maoni