Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa
Singida Dkt. Rehema Nchimbi mara baada ya kuwasili mkoani humo. Pia
Rais Dkt. Magufuli anatarajiwa kushiriki katika Ibada ya Krismasi
mkoani humo hapo Kesho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Kitabu cha Wageni mara
baada ya kuwasili mkoani Singida na kupokelewa na Mkuu wa mkoa wa
Singida Dkt. Rehema Nchimbi.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema
Nchimbi akielezea ujio wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli mkoani humo ambapo pamoja na mambo mengine
atashiriki katika Ibada ya Siku ya Krismasi katika Kanisa mojawapo
mkoani Singida. PICHA NA IKULU
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni