Shirika moja la Kiintelijensia la
Marekani linaamini kuwa Urusi, ilihusika katika kuongeze msukumo kwa
Donald Trump katika mbio za uchaguzi mkuu.
Ripoti ya gazeti la New York Times
limesema shirika hilo linaamini kabisa kuwa Urusi ilihusika katika
kufanya udukuzi.
Ripoti nyingine ya Shirika la
Ujasusi la CIA, imeonyesha kutoa maelezo yanayolingana na hayo,
lakini timu ya Trump wameiponda taarifa ya CIA kwa kusema watu hao
ndio hao hao waliosema Saddam Hussein anasilaha za maangamizi.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni