.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 1 Januari 2017

BW. WASIA MAYA NA BI. LAILA MARTIN WAMEREMETA HOUSTON, TEXAS

Siku ya Alhamis tarehe 29/12 Bw. Wasia Maya kutoka mjini Houston , Texas aliamua kuachana na kambi ya makapera na kufunga ndoa na Bi. Laila Martin. Harusi hiyo ilifanyika nyumbani kwa Bw. Wasia na kuhudhuriwa na Watanzania wengi waishio katika jiji la Houston na miji ya jirani. Ijumaa ya tarehe 30/12 kulifanyika Nikka Dinner katika ukumbi wa Pakwan uliopo kwenye makutano ya barabara za HW6 na Beechnut . Pata picha za Harusi na Nikka Dinner hapa chini.
Bw. Wasia na Bi. Laila siku ya ndoa yao
Maharusi wakiwa na sura za furaha 
Bw. Wasia na mkewe Bi. Laila
Bibi Harusi Bi. Laila
Bw. Wasia
Bi. Laila
Bw. Wasia akiwa kaka Said Nassor
Kaka Mohamed Msika , Bw. Wasia Maya na kaka Said Nassor


Maharusi
Kaka Ally Mjungu akiwa na Bw. Wasia Maya
Kaka Ally Mjungu , Bw. Wasia Maya na Uncle Shebby Pambwe

Bwana Wasia akiozeshwa 








The 1st kiss











NIKKA DINNER


Kaka Ramadhan Machapati, Kaka Kassim Daffa na Kaka Abdul
Bi. Amina na Bi. Zainab




























































































Hakuna maoni :

Chapisha Maoni