Rais Barack Obama ametoa hotuba yake
ya mwisho akiwa kama rais wa Marekani, huko Chicago hotuba ambayo
ilijaa hisia kali na kupelekea kutokwa na machozi yeye pamoja na
baadhi ya watu.
Michelle Obama akimliwaza binti yake Milia ambaye alijikuta akitokwa na machozi wakati akisikiliza hotuba ya baba yake Rais Barack Obama
Makamu wa rais wa Marekani Joe Biden naye alijikuta akishindwa kujizuia na kutokwa na machozi
Michelle Obama akimkumbatia mumewe rais Barack Obama baada ya kumaliza hotuba yake
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni