Sanamu ya shaba ya nyota wa
Argentina Lionel Messi imeharibiwa kwa kukatwa nusu katika tukio la
ajabu la uharibifu.
Sanamu hilo lililozinduliwa rasmi
Jijini Buenos Aires, Juni mwaka jana limeharibiwa baada ya kichwa mikono na eneo
la tumbo kuondolewa.
Sanamu hiyo ni moja ya sanamu chache
za wanamichezo nyota wa Argentina zilizopo kwenye mtaa wa Glory
katika Mji Mkuu huo wa Argentina.
Ni miguu na kiuno tu imebakia katika sanamu hilo ambalo kwa sasa limefungwa kwa mifuko ya nailoni
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni