.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 16 Januari 2017

KOCHA JOSE MOURINHO ASEMA LIVERPOOL WALIJILINDA MNO

Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho, ameipongeza Liverpool kwa kujilinda, huko kocha Jurgen Klopp akisema wenyeji wao walicheza mipira mirefu mno katika mchezo waliotoa sare ya 1-1 katika dimba la Old Trafford.

Mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic, alisawazisha goli katika dakika za mwisho na kusawazisha goli la penati lililofungwa na, James Milner, kwa penati na kuifanya Liverpool kutopata ushindi katika michezo minne.
                  James Milner akipiga penati iliyojaa wavuni na kumshinda kipa David DeGea
                          Mpira wa kichwa uliopigwa kiufundi na Zlatan Ibrahimovic ukijaa wavuni 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni