.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 5 Januari 2017

MADHARA YA KUTAMANI WASICHANA USIYO WAJUA

wd
Katika Karne ya sasa vijana wengi wamekuwa na tabia ya kutafuta uhodari wa nani zaidi kwenye tasnia ya mapenzi, hivyo wakati kijana anapo jikita kwenye mapenzi kama unavyo jua mapenzi yalivyo na nguvu, anashindwa kuvumilia na kujiwekea misimamo yaani kutulia na msichana ambaye tayari kamfanyia uchunguza wenye kina.

Tamaa! ni mbaya, kupenda sio vibaya ila unapaswa kufanya uchunguzi kabla ya kupenda na sio kutamani! Ili ujue ulipo penda ni sahihi au laa!. Unaweza kupenda ulipo tamaniwa shida ndipo huanza, sio hivyo tu unaweza ukapenda mzuka /jini/shetani nk. Mwishowake huwa ni majuto. 


Kumbuka umakini na msimamo katika mapenzi vinamsaada mkubwa sana katika karne hii (usipende usicho kijua) Ukitazama hiki kipande cha video kilicho andaliwa 2017 na Vicent Petro a.k.a Mr. Kiraka, Ziada Mgwassa a.k.a “Zaydar” & Moses, utajifunza kuwa sio kila kinacho ng’aa ni dhahabu!

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni