.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 5 Januari 2017

UZINDUZI WA VIFAA VIPYA VYA KUTEREMSHIA MAKONTENA UNGUJA.

ruge
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja leo ikiwemo Makontena ya mizigo mizito wakiwepo na Viongozi mbali mbali, ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
ruge-1
Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo Makontena ya mizigo mizito inayowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja,leo vimezinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
ruge-2
Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo Makontena ya mizigo mizito inayowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja,leo vimezinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Picha na Ikulu.
ruge-3
Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo Makontena ya mizigo mizito inayowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja,leo vimezinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Picha na Ikulu.
ruge-4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe,Ali Abeid Amani Karume,alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja katika Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo Makontena leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(katikati) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed Mahamoud, Picha na Ikulu.
ruge-5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Cpt.Abdalla Juma,alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja katika Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo makontena ya mizigo mizito leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
ruge-6
Baadhi ya Viongozi wa Serikali waliohudhuria katika Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo makontena ya mizigo mizito leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
ruge-7
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata bmaelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Cpt.Abdalla Juma,kuhusu utendaji wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja mara baada ya Uzinduzi uliofanyika leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
ruge-8
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwasha Mashine ya Reach Stacker yenye uwezo wa kunyanyua Tani 45 wakati alipokuwa akikagua Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja mara baada ya Uzinduzi rasmi alioufanyika leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 04/01/2017.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni