.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 3 Januari 2017

MAZISHI YA BIBI CATHERINE MARWA (89) YAFANYIKA KENYAMANYORI TARIME MKOANI MARA.

Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Anglikana Jimbo la Tarime mkoani Mara, akiongoza ibada ya mazishi ya marehemu, bibi Catherine Seba Marwa Mgaya, zaidi akifahamika kwa jila la Nyangi Ghetango (miaka 89). Mazishi yamefanyika hii leo katika Kata ya Kenyamanyori wilayani Tarime. Na BMG
Ibada ya mazishi ya marehemu, bibi Catherine Seba Marwa (89) aliyefariki
Mazishi ya marehemu, bibi Catherine Seba Marwa (89)
Ndugu, jamaa na marafiki wakiuaga mwili wa marehemu
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu likipelekwa malaloni
Jeneza likishushwa kaburini
Ndugu, jamaa na marafiki wakiweka udongo kwenye kaburi ishara ya kumuaga
Wanafamilia wakiwema shada
Mtoto wa marehemu (kushoto) akiwa na shemeji yake, wakiweka shada
Wajukuu wakiweka mashada
Wanafamilia wakiweka mashada
Wanafamilia wakiweka mashada
Viongozi wa dini wakiweka mashada
Neno la shukrani kutoka kwa msemaji wa familia
Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye mazishi
Wanandugu
Marehemu, bibi Catherine Seba Marwa Mgaya, zaidi akifahamika kwa jila la Nyangi Ghetango (miaka 89). Mola aipumzishe roho ya marehemu, mahala pema, peponi, Amina!

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni