.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 2 Januari 2017

SERENA WILLIAMS NA MCHUMBA WAKE WAVINJARI NCHINI NEW ZEALAND

Mchezaji tenesi Mmarekani Serena Williams, 35, na mchumba wake Alexis Ohanian, 33, wameonekana mitaani wakiukaribisha mwaka mpya wa 2017 kistaili yao huko Auckland, New Zealand.

Nyota huyo wa tenesi alitangaza uchumba wake na muanzilishi wa mtandao wa kijamii wa Reddit kwa shairi, alikuwa amevalia kipensi kifupi cha jeans na koti refu wakati akipanda helkopta kuelekea kisiwa cha Waiheke. 
 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni