.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 2 Januari 2017

POLISI NCHINI UTURUKI WAENDELEA KUMSAKA MUUAJI WA WATU 39

Polisi wanaendelea na msako kumtafuta mtu mwenye silaha aliyeuwa watu 39 kwenye klabu ya usiku Jijini Istanbul wakati Uturuki ikiukaribisha mwaka mpya.

Mtu huyo ambaye hajajulikana aliwafyatulia watu risasi ndani ya klabu ya usiku ya Reina, jumapili na kisha kufanikiwa kukimbia baada ya kuibuka hali ya taharuki.

Haijafahamika mara moja chanzo cha kufanywa shambulizi hilo lakini linahisiwa limefanywa kwa ushawishi wa kundi la Dola ya Kiislam (IS).
                      Polisi wakiendelea na msako kwa kuwakagua watu katika maeneo mbalimbali

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni