.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 4 Januari 2017

MWANAJESHI WA ISRAEL ATIWA HATIANI KWA KOSA LA MAUAJI BILA YA KUKUSUDIA

Mwanajeshi wa Israeli aliyempiga picha Mpalestina aliyempiga risasi na kufa baada ya kupokonywa kisu alichokuwa akitumia kuwashambulia ametiwa hatiani kwa mauaji yasiyoyakukusudia.

Sajenti Elor Azaria, 20, alimpiga risasi Abdul Fatah al-Sharif, 21, kichwani wakati akiwa amelala chini barabarani.

Tukio hilo limetokea Hebron katika makazi ya walowezi ya West Bank mwezi Machi mwaka jana ambapo mwanajeshi mwingine alijeruhiwa na mshambuliaji huyo Mpalestina.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni