.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 3 Januari 2017

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN ATEMBELEA KARAKANA YA MATREKTA MBWENI

Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed alipokuwa akitoa maelezo mafupi na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kuzungumza na wafayakazi wa Kiwanda cha Matrekta Mbweni Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo,baada ya kukitembelea akiwa na Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi na watendaji mbali mbali Serikali, [Picha na Ikulu.] 02/01 2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Wafanyakazi wa Kiwanda cha Matrekta Mbweni Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo,alipofayna ziara maalum ya kukitembelea kiwanda hicho akiwa na ujumbe wa Baraza la Mapinduzi na watendaji mbali mbali wa serikali,[Picha na Ikulu.] 02/01 2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Dkt.Islam Seif Salum wakati alipofika kutembelea Kiwanada cha Matrekta Mbweni Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 02/01 2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) pamoja na Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi na watendaji mbali mbali wa Serikali wakipata maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu wa Kiwanda cha Matrekta Nd,Haji Haji Makame (Mtumbatu) kuhusu mashine zinavyofanyakazi kutokana na uchakavu wake, wakati alipofika kutembelea Kiwanda hicho leo, Mbweni Wilaya ya Magharibi "B" Unguja,(wa pili kulia) Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed, [Picha na Ikulu.] 02/01 2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) pamoja na Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi na Viongozi mbali mbali wakipata maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu wa Kiwanda cha Matrekta Mbweni Nd,Haji Haji Makame (Mtumbatu) walipofika kuangalia mashine zinavyofanyakazi kutokana na uchakavu wake, wakati walipofika kutembelea Kiwanda hicho leo huko Mbweni Wilaya ya Magharibi "B" Unguja,(wa pili kulia)Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed, [Picha na Ikulu.] 02/01 2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) alipokuwa akitoa maelezo kwa Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi na watendaji mbali mbali wa Serikali wakati walipotembelea Kiwanda cha Matrekta Mbweni Wilaya ya Magharibi "B" Unguja,(kushoto)Mkuu wa Kiwanda Nd,Mohamed Omar, [Picha na Ikulu.] 02/01 2017.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni