Mkuu wa Mkoa waTanga, Martine
Shigella akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye
kiwanda cha kuzalishia chuma cha Mjini Tanga cha (Unique Steel Milll)
wakati wa ziara yake ya kukaagua maendeleo ya
viwanda mbalimbali jijini hapa ili kuona namna ya ufanisi wake na
changamoto zinazowakabili.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine
Shigella wa pili kutoka kushoto akiteta jambo na mmoja kati ya
wamiliki wa kiwanda cha kuzalisha chuma cha (Unique Steel Mill)
wakati wa ziara yake ya kukaagua maendeleo ya viwanda mbalimbali
jijini hapa ili kuona namna ya ufanisi wake na changamoto
zinazowakabili kulia ni Mhasibu wa kiwanda hicho, Sikander Husein
Omari na Mkuu wa wilaya ya Tanga, Thobias Mwilapwa.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine
Shigella katikati akionyeshwa namna chuma zinavyozalishwa kwenye
kiwanda cha Unique Steel Mill wakati wa ziara yake ya kukaagua
maendeleo ya viwanda mbalimbali jijini hapa ili kuona namna ya
ufanisi wake na changamoto zinazowakabili kushoto ni Mkuu wa wilaya
ya Tanga, Thobias Mwilapwa.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine
Shigella akitazama namna chuma akiwa amepanda kwenye chuma hizo kuona
ubora wake wakati wa ziara yake ya kukaagua maendeleo ya viwanda mbalimbali jijini hapa ili kuona
namna ya ufanisi wake na changamoto zinazowakabili.
Tanga,Martine Shigella akiangalia
ubora wa nondo zinazozalishwa kwenye kiwanda cha kuzalishia chuma cha Unique
Steel Mill wakati wa Ziara yake ya kukaagua maendeleo ya viwanda
mbalimbali jijini hapa ili kuona namna ya ufanisi wake na changamoto zinazowakabili.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni