.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 16 Januari 2017

SEVILLA YATIBUA REKODI YA REAL MADRID YA KUTOFUGWA MICHEZO 40

Rekodi ya Real Madrid ya kutofungwa michezo 40, imekomeshwa na mchezaji wa zamani wa Manchester City, Stevan Jovetic, aliyefunga goli la dakika za mwisho na kuipa ushindi Sevilla.

Mshambuliaji Cristiano Ronaldo aliwafanya wageni Real Madrid kuongoza kwa goli la mkwaju wa penati baada ya Dani Carvajal kufanyiwa madhambi na kipa wa Sevilla, Sergio Rico.

Sergio Ramos aliifungia timu yake ya zamani goli baada ya kujifunga kwa goli la mpira wa kichwa katika dakika ya 85 na Jovetic kufunga goli la pili katika dakika ya 90.
                                 Cristiano Ronaldo akishangilia goli kwa staili yake iliyozoeleka
                                                       Sergio Ramos akijifunga kwa mpira wa kichwa
Unakwenda wapi ?: Cristiano Ronaldo akikabwa kwa kushikwa ili sipite na kuleta madhara

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni