.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 1 Januari 2017

SHEREHE ZA MWAKA MPYA ZAFANA JIJINI LONDON

Sherehe za kuukaribisha mwaka mpya jijini London zimefana na kupambwa na fataki za rangi tofauti, wakati watu katika sehemu mbalimbali duniani wakifurahia mwaka mpya.

Watu milioni moja walikusanyika Jijini London kushuhudia fataki zenye rangi tofauti zikiupamba mji huo mkuu wa Uingereza.

Jumla ya fataki 12,000 zilipamba anga la London, ambapo mwaka mpya ulichelewa kuingia kwa sekunde moja kutokana na kupungua kwa kasi ya mzunguko wa dunia.
Watu waliokuwa wamekusanyika Jijini London kungojea kuukaribisha mwaka mpya
Fataki zikionekana angani nyuma ya mnara wa saa ambao mishale yake inaonyesha kuwa London imeingia mwaka mpya

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni