.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 1 Januari 2017

WATU 39 WAFA KATIKA SHAMBULIZI LA KIGAIDI KWENYE KLABU YA USIKU

Watu wapatao 39 wakiwemo raia wa kigeni 16 wamekufa katika shambulizi la kigaidi jana usiku kwenye klabu ya usiku Jijini Instabul nchini Uturuki.

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki Suleyman Soylu amesema polisi wanawatafuta magaidi walioshambulia klabu hiyo ya usiku ya Reina.

Hata hivyo hadi sasa mamlaka za Uturuki hazijasema lolote kuhusu kupatikana kwa magaidia hao.

Waziri Soylu amesema kufuatia shambulizi hilo watu wengine 69 wanapatiwa matibabu hospitali.
             Vikosi vya uokoaji vikiwa vimembeba majeruhi kwenye machela maalum
                                  Askari polisi wa Uturuki wakiwa wanalinda eneo la klabu hiyo 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni