.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 1 Januari 2017

TIMU YA LIVERPOOL YAIFUNGA MANCHESTER CITY KATIKA DIMBA LA ANFIELD

Liverpool imeendelea kuwafukuzia vinara wa Ligi Kuu ya Uingereza Chelsea na kubakiza tofauti ya pointi sita, baada ya kuifunga Manchester City goli 1-0 katika dimba la Anfield.

Alikuwa Georginio Wijnaldum aliyeifungia Liverpool goli pekee katika dakika ya nane kwa mpira wa kichwa akiunganisha krosi ya Adam Lallana.

Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp aliongoza kusherehekea ushindi huo baada ya mpira kuisha, katika mchezo huo ambao ulikuwa wa nguvu lakini ulikosa ubora.
                             Mpira wa kichwa uliopigwa na Georginio Wijnaldum ukielekea wavuni
                         Kocha Jurgen Klopp akimkumbatia kwa furaha Mdachi Wijnaldum

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni