TBL WOMEN'S FORUM MBEYA WAFUNGUA MWAKA KWA KWA KUWEKA MIKAKATI MIZITO
Wafanyakazi wanawake wa kampuni ya TBL mkoani Mbeya mwishoni mwa wiki walifanya hafla ya kukaribisha mwaka mpya ambapo walikutana pamoja na kufurahia mafanikio ya mwaka uliopita na kuwekeana mikakati ya kusonga mbele katika kipindi cha mwaka huu wa 2017.
Mbali na kupata chakula,vinywaji na burudani za muziki pia walibadilishana uzoefu wa masuala mbalimbali ya kazi na malezi ya familia pia walipata mafunzo kutoka kwa mtaalamu wa masuala ya jinsia Bi.Sadaka Gandi.
Mtaalamu wa masuala ya jinsia,Bi.Sadaka Gandi ,akitoa mada wakati wa hafla hiyo
Afisa Mawasiliano wa TBL,Abby Mutaboyerwa akitoa mada wakati wa hafla hiyo
Wanawake wa TBL Mbeya wakisikiliza mada mbalimbali wakati wa hafla hiyo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni