.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 2 Januari 2017

WALEVI UINGEREZA WAWAPA KAZI YA ZIADA MADAKTARI MWAKA MPYA

Madaktari nchini Uingereza wamejikuta wakiwa na wakati mgumu wa kutoa msaada kwa walevi waliookotwa wakiwa hoi baada ya kunywa kupindukia wakiukaribisha mwaka mpya.

Hali hiyo ilipelekea magari ya kubebea wagonjwa yakiwa bize kuwahudumia walevi waliozima badala ya jukumu la kuwahudumia wagonjwa wanaohitaji msaada wadharura.
      Msichana aliyejikuta akiwa amezimika kwenye benchi baada ya kuzidiwa na kileo
Shosti kazimika itakuwaje ?: Ni kama anawaza hivyo baada ya mwenzake kuzidiwa na pombe
Pombe si Maji: Marafiki wakimnyanyua mwanamke aliyezidiwa na kileo na kulala chini
     Hawa nao waliamua kuzichapa ngumi kavu kavu baada ya akili kutawaliwa na kileo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni