.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 1 Januari 2017

WATU 13 WAFA BAADA YA KIVUKO KULIPUKA MOTO NCHINI INDONESIA

Watu wapatao 23 wamekufa na wengine 17 hawajulikani walipo baada ya kivuko kuwaka moto katika pwani ya Indonesia.

Kivuko cha Zahro Express kilikuwa kimebeba watu 230 kwenda katika kisiwa cha Tidung, kwenye hoteli iliyopo kilomita 50 kutoka Jakarta.

Maafisa wa Indonesia wamesema kivuko hicho kililipuka kikiwa umbali wa kilomita 1.5 kutoka bandari ya Muara Angke ya Jakarta, mara baada ya kuanza safari.

Watu wengi waliruka majini, ambapo maafisa wa Indonesia wamesema jumla ya watu 194 wameokolewa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni