Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
akiongoza kikao kati yake na Maofisa wa Magereza kutoka makao
Makuu ya Magereza , pamoja na Makamanda wa Magereza wa Mikoa yote
nchini, ofisini kwake mjini Dodoma Februari 13, 2017. (Picha na
Ofisi ya Waziri MKuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Kamishina Mwandamizi wa Magereza na Mkuu wa Magereza
wa Mkoa wa Lindi, Tusikile Mwaisabira baada ya kikao chake na
Maofisa wa Magereza kutoka Makao ya Magereza na Maofisa Magereza wa
Mikoa, kilichofanyika Ofisini kwake mjini Dodoma Februari 13,2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Kamishina Jenerali wa Magereza, Dk. Juma Malewa baada
ya kikao chake na Maofisa wa Magereza kutoka Makao ya Magereza
kilichofanyika Ofisini kwake mjini Dodoma Februari 13,2017.
Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani Meja Jenerali
Projest Rwegasira. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa
katika picha ya pamoja na Maofisa wa Jeshi la Magereza Wanawake
baada ya kikao chake na Maofisa wa Magereza kutoka Makao ya Magereza
kilichofanyika Ofisini kwake mjini Dodoma Februari 13,2017. Kulia
kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa
katika picha ya pamoja na Watalaamu na Wasimamizi wa Mkiradi ya Jeshi
la Mgereza, baada ya kikao chake na Maofisa wa Magereza kutoka Makao
ya Magereza na Wakuu wa Magereza wa Mikoa kilichofanyika Ofisini
kwake mjini Dodoma Februari 13,2017. Kulia kwake ni Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni