.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 23 Februari 2017

MBUNGE WA JIMBO LA ILEJE, JANETH MBENE AMTEMBELEA NAIBU WAZIRI MASAUNI, OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Ileje, mkoani Songwe Janeth Mbene, wakati Mbunge huyo alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo ya Jimbo lake la Ileje. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mbunge wa Jimbo la Ileje mkoani Songwe, Janeth Mbene (kushoto) akimfafanulia jambo Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, wakati Mbunge huyo alipomtembelea Naibu Waziri huyo ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo katika Jimbo lake la Ileje. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akimkaribisha Mbunge wa Jimbo la Ileje mkoani Songwe, Janeth Mbene, ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo ya Jimbo lake la Ileje. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni