.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 23 Februari 2017

JUVENTUS YAITUNDIKA MBILI FC PORTO LIGI YA MABINGWA ULAYA

Wachezaji waliotokea benchi Marko Pjaca na Daniel Alves walifunga magoli mawili ndani ya muda wa dakika mbili wakati Juventus ikiifunga Porto iliyokuwa na wachezaji 10 magoli 2-0 katika Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya 16 bora.

Wenyeji walijikuta beki wao wa kushoto Alex Telles akitolewa nje baada ya kupewa kadi mbili za njano ndani ya muda wa sekunde 74, ya pili ikiwa ni baada ya kumchezea rafu Stephan Lichtsteiner katika dakika ya 27.
                                       Marko Pjaca akifunga goli lake la kwanza akiwa na Juventus
Beki Mbrazil Telles akipewa kadi nyekundu baada ya kupewa kadi mbili za njano katika mchezo huo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni