Timu ya Chelsea imepoteza nafasi ya
kuongoza Ligi Kuu ya Uingereza kwa tofauti ya pointi 12 baada ya
kulazimishwa sare ya goli 1-1 na Burnley katika dimba la Turf Moor.
Wenyeji wameshinda Burnley
walishinda michezo yao yote minne waliocheza nyumbani, walijikuta
wakifungwa goli la kwanza na Pedro.
Wageni Chelsea waliutawala mchezo
huo na ilionekana kama wataongeza goli la pili hata hivyo Robbie
Brady aliisawazishia Burnley kwa mpira wa adhabu.
Pedro akijipinda na kuachia shuti lililojaa wavuni na kuandika goli
Kipa wa Chelsea Courtois akiruka pila mafanikio kuzuia mpira uliopigwa na Robbie Brandy
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni