Ulaji wa chapati umeanza kushika
kasi nchini Kenya kiasi cha kupita ulaji wa ugali ambao ndio chakula
kikuu cha wananchi wa nchi hiyo.
Hali hiyo ya ongezeko la ulaji wa
chapati nchini Kenya linachangiwa na ongezeko kubwa la bei ya unga wa
ugali.
Mfuko wa Kg 90 wa unga wa ugali
unauzwa shilingi za Kenya 4,483 ikilinganishwa na mfuko wa unga wa ngano wa Kg
90 Sh 3,945.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni