Mwanaume mmoja aliyetoweka nchini
Indonesia amekutwa akiwa amekufa baada ya kumezwa na nyoka aina ya
chatu.
Mwanaume huyo aitwae Akbar alitoweka
tangu jumapili katika kisiwa cha Sulawesi, baada ya kuondoka nyumbani
kwenda kuvuna mafuta ya mzaituni.
Katika kumtafuta mwanaume huyo
polisi walimuona nyoka aliyemeza kitu kikubwa na walipomuua na
kumpasua wakamkuta mtu ameshakufa.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni