Ivanka Trump amejiunga rasmi kama
mshauri wa baba yake, akiwa ni muajiriwa asiye na malipo, akiwa ni
Msaidizi wa rais Donald Trump.
Mtoto huyo wa kike wa rais Trump,
amelazimika kukubali shinikizo la wataalam wa maadili, ili kuachana
na mpango wa awali wa kuitumikia cheo hicho katika mazingira
yasiyorasmi.
Ivanka anaungana na mumewe, Jared
Kushner, ambaye mshauri mwandamizi wa rais Donald Trump.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni