Mchezaji wa Golden State Warriors
ambaye anaongoza kwa kufunga pointi Kevin Durant atafanyiwa kipimo
cha MRI baada ya kuumia goti lake katika mchezo waliopoteza kwa
pointi 112-108 dhidi ya Washington Wizards.
Durant alitoka akichechemea jana
baada ya mchezaji mwenzake wa Golden Sate Warriors Zaza Pachulia
kumuangukia mguuni.
Kevin Durant ambaye ni Mchezaji
Mwenye Thamani kubwa NBA kwa mwaka 2014, alijunga na Golden State
Warriors katika msimu huu kwa mkataba uliofikia dola 54.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni