Mfalme wa Saudi Arabia Salman bin
Abdulaziz al-Saud amewasili nchini Indonesia akiwa na ndege yake
iliyonakishiwa kwa dhahabu katika ziara yake ya kihistoria katika
nchi hiyo.
Mfalme huyo ameenda Indonesia akiwa
na Mercedes-Benz mbili, Limousines 600 akiambatana na ndege saba na
wasaidizi wake wapatoa 1,000.
Walinzi wa Mfalme wa Saudi Arabia Salman bin
Abdulaziz al-Saud wakimkinga mvua na miavuli yao
Mfalme Salman bin
Abdulaziz al-Saud akiwapungia mkono watu hawapo pichani akiwa na mwenyeji wake rais Joko Wadodo wa Indonesia



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni