Timu ya taifa ya Brazil imekuwa timu
ya kwanza kufanikiwa kufuzu kutinga michuano ya kombe la dunia baada
ya kupata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Paraguay.
Katika mchezo huo Neymar, Marcelo na
Philippe Coutinho waliifungia magoli Brazil na kumfanya kocha Tite
kupata ushindi wa nane mfululizo.
Brazil inaongoza kundi la nchi za
Amerika ya Kusini kwa pointi 33 ilizopata katika michezo 14
iliyocheza.
Neymar akishuhudia penati yake ikipanguliwa na kipa Antony Silva
Marcelo akifunga goli kwa kuubetua mpira juu ya kipa Antony Sila



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni