Mchezaji nguli wa Brazil, Ronaldinho
ameamua kuonyesha kipaji chake kigine mbali na mchezo wa soka ambao
ndio uliomtangaza jina lake.
Ronaldinho ambaye bado hajatangaza
kujiuzulu soko licha ya kutocheza tangu mwaka 2015, sasa anajifua
vilivyo katika ulimwengu wa mziki.
Nyota huyo tayari amejitambulisha
katika ulimwengu wa mziki na traki yake ya kwanza iitwayo 'Sozinho' ambayo ni ya miondoko
laini ya samba.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni