Mpendwa Baba yetu Urban Peter Mbuya, leo umetimiza mwaka mmoja tangu Mwenyezi Mungu akuite nyumbani kwake juu mbinguni.
Umetuachia majonzi makubwa lakini tuna imani uko mahala salama ukituombea.
Unakumbukwa sana na mke wako Tertula Lyinna, watoto wako Rose, Flora, Juliet, Brenda na Gloria pamoja na wajukuu zako Joan, Michael, Christabell, Malaika, Noela, Cleopatra na Urban.
Tunazidi kukuombea upate pumziko la milele.
"Raha ya milele umpe eeh "Bwana na mwanga wa milele umuangazie, upumzike kwa amani.." Amen !
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni