Katika mchezo huo wa ligi ya Uropa
Genk ilipata goli la kwanza kwa mpira wa adhabu uliopigwa na
Malinovskiy, Kalu akaisawazishia Gent kabla ya Colley kufunga goli la pili.
Mtanzania Mbwana Samatta alifunga
goli la tatu na Uronen akaongeza la nne, lakini
Coulibaly akaifungia Gent goli la pili, kabla ya Samatta kufunga goli
la tano.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni