.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 10 Machi 2017

BALOZI KAMALA AHUDHURIA KAMATI TENDAJI YA KIBUNGE KUHUSU SHIRIKISHO LA BIASHARA DUNIANI (WTO) - BRUSSELS

Mbunge wa Jimbo la Nkenge Mhe. Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akishiriki kikao cha 38 Kamati Tendaji Kuhusu Shirikisho la Biashara Duniani. Kikao hicho kimefanyika Brussels - Ubeligiji kufanya tathimini ya mwenendo wa biashara na uwekezaji Duniani. Bunge la Tanzania limeteuliwa hivi majuzi kuungana na nchi 21 zinazounda Kamati Tendaji ya Kibunge Kuhusu Shirikisho la Biashara Duniani.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni