.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 9 Machi 2017

USHIRIKI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI- WILAYANI KONGWA DODOMA.

1
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa katika maandamano ya kuiadhimisha Siku ya Wanawake yaliyofanyika Wilayani Kongwa Mkoa wa Dodoma Machi 8, 2017
2
3
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiburudika wakati wa kuisherekea Siku ya Wanawake katika Viwanja vya mikutano Wilayani Kongwa Dodoma Machi 8, 2017.
4
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe.Bw Deogratius J. Ndejembi akiwasilisha hotuba yake wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake iliyofanyika wilayani hapo Machi 8, 2017
5
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiliza mgeni Rasmi(hayupo pichani) wakati wa sherehe za kuiadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2017 iliyofanyika kimkoa katika Wilaya ya Kongwa Dodoma.
6
Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa sherehe ya Siku ya Wanawake iliyoadhi,ishwa kimkoa Wilayani Kongwa Dodoma.  (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU – DODOMA)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni