Lori aina ya MAN ambalo ni nyumba
inayotembea lemeingizwa sokoni likiuzwa paundi 630,000, ambalo pia
linauwezo wa kuhifadhi maji masafi lita 1,000 kwa matumizi.
Vitanda vya lori hilo wanaweza
kulala watu wazima wawili na watoto wawili, huku likiwa na sebule
yenye TV, jiko, choo na bafu.
Sebule inavyoonekana katika lori hilo
Jiko na eneo la kuoshea vyombo
Vitanda viwili kimoja chini na kingine juu
Hapa ni chooni na bafuni pamoja na sinki la maji
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni