Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kumpokea mgeni wake Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Dessalegn mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Terminal One jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na mgeni
wake Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Dessalegn mara baada ya
kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Terminal One jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu wa
Ethiopia Hailemariam Dessalegn akipiga ngoma mara baada ya kuwasili
Ikulu jijini Dar es Salaam, Pembeni yake ni Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpigia makofi.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Dessalegn wakati nyimbo za
mataifa mawili (Tanzania na Ethiopia) zikipigwa mara baada ya
kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Terminal One jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu wa
Ethiopia Hailemariam Dessalegn akishuka kwenye jukwaa kwenda kukagua
gwaride la Heshma lililoandaliwa kwa ajili yake.
Waziri Mkuu wa
Ethiopia Hailemariam Dessalegn akikagua Gwaride la heshma
lililoandaliwa kwa ajili yake.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo
na mgeni wake Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Dessalegn mara
baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wanahabari mara baada ya kumaliza mkutano wa pamoja na Waziri Mkuu wa
Ethiopia Hailemariam Dessalegn aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu wa
Ethiopia Hailemariam Dessalegn akizungumza na Wanahabari Ikulu jijini
Dar es Salaam mara baada ya mkutano wake na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi kwa mgeni wake Waziri Mkuu wa
Ethiopia Hailemariam Dessalegn Ikulu jijini Dar es Salaam.
Shamra shamra
zikiendelea wakati wa kuwasili Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam
Dessalegn katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Terminal 2 jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu wa
Ethiopia Hailemariam Dessalegn akikaribishwa kwa kupewa ua na mtoto
Xyleen Mapunda mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere Terminal One jijini Dar es Salaam. PICHA
NA IKULU












Hakuna maoni :
Chapisha Maoni