.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 27 Aprili 2017

BARCELONA YAICHAKAZA BILA HURUMA TIMU YA OSASUNA

Lionel Messi amefunga mara mbili wakati Barcelona ikiendelea kuongoza msimamo katika Ligi ya La Liga huku ikiichakaza bila huruma timu inayoelekea kushuka daraja ya Osasuna.

Katika mchezo huo ambao Barcelona iliibuka na ushindi wa magoli 7-1 Lionel Messi alikuwa wa kwanza kufunga goli kabla ya Andre Gomes kuongeza la pili.

Roberto Torres aliipatia matumaini Osasuna kwa kufunga, lakini magoli ya Gomes na Messi tena, kisha mengine mawili kutoka kwa Paco Alcacer na moja la Mascherano yaliwanyamazisha.
                                Lionel Messi akiachia shuti na kufunga goli katika mchezo huo
                                                       Paco Alcacer akijipinda na kuifungia goli Barcelona

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni