Bondia Floyd Mayweather amempatia
mtoto wake wa kiume Zion zawadi ya gari aina ya Mercedes C-Class
Coupe yenye thamani ya paundi 31,000.
Zawadi ya gari hilo la kifahari
imetolewa na Floyd Mayweather katika sherehe ya kuzaliwa ya Zion
ambaye ametimiza miaka 16.
Bondia huyo mstaafu mpenda matanuzi
pia aliwahi kumnunulia Mercedes mtoto wake mwingine wa kiume Koraun
katika siku yake ya kuzaliwa mwaka jana.
Zion Maywether akiwa katika picha ya pamoja na rafiki zake
Rapa Young Thug akitumbuiza katika pati ya Zion Maywether
Zion Maywether akirusha dola na rafiki yake kwa mtindo wa Chop my Money




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni