Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akitia
saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mbunge Dr Elly Marko Macha ,
katika Viwanja Bunge Mjini Dodoma 3 March 2017 Mbunge huyo
amefariki hivi karibuni alipo kuwa katika matibabu Nchini Uingereza.
Picha na PMO
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni