.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 23 Aprili 2017

ZLATAN IBRAHIMOVIC KWENDA KUTIBIWA GOTI MAREKANI

Mshambuliaji nyota Zlatan Ibrahimovic anatarajiwa kwenda kutibiwa na daktari bingwa mashuhuri nchini Marekani, ili kujaribu kumuwezesha kurejea dimbani baada ya kuumia vibaya kwenye goti.

Ibrahimovic mwenye miaka 35, atatibiwa na daktari mashuhuri Dk. Freddie H Fu mapema wiki hii, kutokana na kuchanika vibaya misuli ya kwenye goti baada ya kutua vibaya wiki iliyopita katika mchezo wa Ligi ya Uropa dhidi ya Anderlecht.

Timu ya Manchester United imethibitisha jumamosi taarifa kuhusu kuumia kwa wachezaji wake misuli akiwemo Ibrahimovic na beki Marcos Rojo, ambao waliumia wote waliumia katika mchezo huo walioibuka na ushindi wa magoli 2-1.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni