BOSI MPYA SHIRIKA LA POSTA AJA NA MATUMIZI YA TEHAMA
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Deo Kwiyukwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu ujio mpya wa Posta ya Kidijitali ofinini kwake leo Jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Deo Kwiyukwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ujio mpya wa Posta ya Kidijitali ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtenda Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania aliyemaliza muda wake akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari wakati wa mkutano wa waandishi hao na mrithi wake Deo Kwiyukwa (hayupo pichani) leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Idara ya Fedha na Uhasibu Cyprian Mugemuzi. Picha na: Frank Shija – MAELEZO
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni