.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 5 Mei 2017

WAZIRI MKUU ANUNUA HISA ZA VODACOM

Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa akiongea na Viongozi wa Serekali ,,wandishi wa Habari pamoja viongozi wa Vodacom ,Kuhusu uhamasishaji wa Ununuzi wa Hisa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikabidhi Fomu zake za Ununuzi wa Hisa za Vodacom kwa Dalali wa Hisa Bwana Garase Mugisha ,5/5/2017 ,Wanao shudia katikati kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango Bwana Philp Mpango na Katibu Mtendeaji wa Baraza la Uwezeshaji Bibi Beng'I Issa na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkurugenzi mkuu wa Vodacom , Shughuli hiyo imefanyika Ofini kw Waziri Mkuu Magogoni Dar es salaam. PICHA NA PMO

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni