Jumanne, 2 Mei 2017
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI MEI MOSI MKOANI KITAIFA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr Reginali Mengi walipokuwa katika Sherehe za Mei Mosi zilizo fanyika Kitaifa Mkoani Kilimanjaro 01/5/ 2017 Katika viwanja vya Chuo cha Ushirika Mkoani Kilimanjaro.PICHA NA PMO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Raisi Mama Samia Suluhu walipokuwa katika Sherehe za Mei Mosi zilizo fanyika Kitaifa Mkoani Kilimanjaro 01/5/ 2017 Katika viwanja vya Chuo cha Ushirika Mkoani Kilimanjaro
Baadhi ya Wabunge wakiwa pamoja na Watumishi wa Serekali katika Sherehe za Mei Mosi zilizo fanyika Kitaifa Mkoani Kilimanjaro 01/5/ 2017 Katika viwanja vya Chuo cha Ushirika Mkoani KilimanjaroPICHA NA PMO
Wafanya Kazi wa Kiwanda Chakutengenza Sukari (TPC) Wakipita Kwa maandamo mbele ya mgeni Rasimi Rais Dr John Magufuli 5/5/ 2017 ikiwa ni ishara ya kusheherekea Maadhimisho ya Sikukuu ya wafanyakazi Duniani ambapo Tanzania Kitaifa yamefanyika Mkoani Kilimanjaro Katika Viwanja vya Chuo cha Ushirika Mkoani Kilimanjaro. PICHA NA PMO
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni