.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 29 Julai 2017

ANGEL DI MARIA KUTUMIKA KAMA CHAMBO CHA KUMTWAA NEYMAR

Timu ya Paris Saint-Germain inataka kumtoa, Angel Di Maria kwa Barcelona, pamoja na kutoa kitita cha puandi milioni 195, ili kufanikisha uhamisho utakaovunja rekodi wa Neymar.

Imeripotiwa kuwa mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United atatumiwa kama chambo cha kufanikisha mpango wa kumnunua Neymar.

Timu hiyo ya Ufaransa inataka kutumia mbinu hiyo ili kukwepa kifungu cha kutoa kitita kwa Barcelona iwapo watamuuza Neymar kwa timu nyingine na kulipia kodi ya paundi milioni 62.
                     Angel Di Maria kutumika kama chambo na PSG ili kumnasa Neymar 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni