.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 26 Julai 2017

INTER MILAN YASEMA INAFIKIRIA KUMUUZA WINGA IVAN PERISIC

Inter Milan itafikiria ofa iliyotolewa kwa winga wake Ivan Perisic ambayo ni vigumu kuikataa, kwa mujibu wa bosi wao Luciano Spalletti.

Winga huyo raia wa Croatia amekuwa akihusishwa na uhamisho wa dau la paundi milioni 48 kuhamia Manchester United.

Spalletti amesema Inter inataka kumbakisha Perisic, 28, lakini itaweza kumuuza kwa shingo upande mchezaji huyo wa zamani Wolfsburg ili kupata fedha za kuimarisha kikosi chao.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni